Baada ya Pilkapilka za wiki, mimi huyo mpaka Pine Court beach Bar kwa show ya karaoke ambayo huandaliwa kila wiki siku ya jumatano. Jumatano hii (7th December), ilikuwa na shesehe kibao kwani Msanii Beka the Boy alikuwa mgeni wetu rasmi katika show hiyo. Beka the Boy hakuwa msanii wa pekee kufika kwa hiyo show, bali kulikuwa na wasanii chungu mzima akiwemo Jokka Zunda, Young Njita, Dee Ommy, Angiey Fresh, Turner Boy, Kusua na Carol wandia. cheki mapicha hayo!!!

Post a Comment

 
Top